đź“ŤWareta, Hanang, Manyara

Ahadi ya Mama Imekamilika.

Nyumba 109 kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Hanang mkoani Manyara leo zimekabidhiwa rasmi kwa wahusika.

3

Usiku wa kuamkia leo Desemba 18 2024 tumepoteza ndugu zetu 15 kwa ajali ya barabarani, iliyohusisha lori la mizigo na gari la abiria aina Coaster katika eneo la Mikese, Barabara Kuu ya Morogoro – Dar es Salaam (A7 Highway).

Ninawapa pole familia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro…

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Jaji Mstaafu ambaye pia ni Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa.

Ninatoa pole kwa familia, Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Profesa Ibrahim Hamis Juma, Msajili wa Vyama vya Siasa Mheshimiwa Jaji Francis Mutungi,…

Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya CS Sfaxien.

Mnaendelea kutupa Watanzania furaha na burudani kwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa, huku tukiendelea kubaki wamoja katika kazi, amani, umoja, utulivu…

Load More